News
Wataalamu Wajapani wametoa mafunzo nchini Ukraine ya namna ya kuondoa mabomu ya kutegwa ardhini kwa kutumia vifaa vya ...
Waziri wa Uhuishaji Uchumi wa Japani Akazawa Ryosei na Waziri wa Biashara wa Marekani Howard Lutnick wamekubaliana kuendelea ...
Mahakama moja jijini Beijing nchini China Julai 16 imemhukumu mfanyabiashara Mjapani kifungo cha miaka 3 na nusu jela kwa ...
Israel imefanya mashambulizi makubwa ya anga katika mji mkuu wa Syria, Damascus Julai 16. Ilisema kampeni hiyo ni sehemu ya ...
Vikosi vya Urusi vinaendeleza mashambulizi dhidi ya Ukraine wakati Rais Donald Trump wa Marekani akitoa wito kwa Urusi kukubali kusitisha mapigano.
Julai 16, Indonesia ilisema imefikia makubaliano na Marekani juu ya ushuru baada ya “mvutano mkubwa” katika mazungumzo. Taifa ...
Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu kutoka Kundi la Nchi 20 zilizostawi zaidi kiuchumi, G20 wamemaliza siku yao ya ...
Gavana wa mkoa wa Hiroshima nchini Japani Yuzaki Hidehiko ametembelea eneo la zamani la majaribio ya nyuklia na makumbusho ...
Maafisa wa eneo wamemuua kwa risasi dubu katika mji wa kaskazini mwa Japani ambako mwanaume mmoja aliuawa katika shambulizi ...
Idadi ya raia wa kigeni walioitembelea Japani katika miezi sita ya kwanza ya mwaka huu imefikia milioni 21.51, ikiwa ni ...
Bunge la Ukraine Julai 16 liliidhinisha kwa wingi wa kura kufutwa kazi kwa Waziri Mkuu Denys Shmyhal kufuatia taarifa yake ya ...
Our site uses cookies and other technologies to give you the best possible experience. By using this site you are consenting to their use and accept our policies. Learn more ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results